• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

HALMASHAURI YA MERU YASHIKA NAFASI 6 KITAIFA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018

25 January 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mkoani Arusha imeshika  nafasi ya 6 kitaifa kati ya  Halmashauri na Manispaa 195 kwenye matokeo kidato cha nne kwa mwaka 2018.

Halmashauri hiyo imeendelea kuongoza kwenye Mkoa wa Arusha  kwa kushika nafasi ya kwanza matokeo ya  kidato cha nne 2018  huku ikifuatiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Monduli.

Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bwn.Emanuel Mkongo amewapongeza waalimu wakiongozwa na mkuu wa idara ya elimu Sekondari Mwl.Damari Mchome kwa ufundishaji na usimamizi mzuri wa maswala ya  Elimu .

Mkongo ameeleza kuwa Halmashauri hiyo imeweka mikakati ya kuboresha swala la Elimu ikiwa ni pamoja na  agenda ya mimba za utotoni kuwa ya kudumu kwenye mikutano ya vijiji na Kata.

Aidha Mkongo ametoa wito kwa jamii na wadau wa elimu Kushiriki kuboresha Sekta ya Elimu hususani katika ujenzi wa Miundombinu (Mabweni, Madarasa, Maabara, Vyoo, Nyumba za Walimu na Ofisi za Walimu)   kwenye Halmashauri hiyo.

Akipokea pongezi kwa niaba ya walimu, Afisa Elimu Sekondar Mwl.Damari Mchome amewapongeza wasichana kwa kuongoza katika matokeo hayo.

Kuona matokeo ya kidato cha Nne 2018 http://www.tamisemi.go.tz/app/form_4_results_2018/results/p0418.htm

Kuona Mpangilio wa Halmashauri/Manispaa kwa ubora wa ufaulu CSEE2018 bofya hapa https://cdn.necta.go.tz/files/Mpangilio_wa_HalmashauriCSEE2018.pdf


Matokeo hayo ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha nne uliofanyika mwaka 2018 yametangazwa rasmi mjini Dodoma na  Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde.

Matangazo ya Kawaida

  • HALMASHAURI YA MERU YASHIKA NAFASI 6 KITAIFA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018 January 25, 2019
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018. January 24, 2019
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI MWAKA 2018 January 04, 2019
  • HALMASHAURI YA MERU YASHIKA NAFASI YA NNE MATOKEO YA KIDATO CHA PILI. January 04, 2019
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA MERU YASHIKA NAFASI YA 6 KITAIFA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018.

    January 25, 2019
  • MADIWANI 3 MERU WALA KIAPO

    November 08, 2018
  • MIMBA ZA UTOTONI KUWA AGENDA YA KUDUMU MERU DC..

    November 08, 2018
  • TAARIFA YA MAMBO MUHIMU YALIYOTEKELEZWA NA SERIKALI YA AWAMU TANO KWA MIAKA 3.

    November 06, 2018
  • Tazama Vyote

Video

Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 027 297-482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

Counter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa