Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu J. Makwinya ,anawataarifu wenye majina yafuatayo kufika kwenye usaili wa nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na Mwendesha BVR
Usaili utafanyika Tarehe 02 Novemba 2024 kuanzia Saa 02:00 Asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Wasailiwa wote mnakumbushwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa kwenye Barua za Tangazo la usaili.
Bofya hapa chini kupakua Majina.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa