Halmashauri ya Meru ina jumla ya vikundi 35 vya wafugaji nyuki na wafugaji binafsi 570.
Ndani ya Halmashauri ya Meru kuna Jumla ya Mizinga ya nyuki 2,226 na takwimu za uvunaji zinaonyesha kuwa kwa mwaka asali ya nyuki wakubwa hufikia kilo 5,933 na asali ya nyuki wasiouma hufikia kilo 1,805. Mazao mengine ya asali yanayopatikana ni Pamoja na kilo 619 za Nta na Gundi kilo 15.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa