Leseni za Biashara ni vibali vinavyotolewa na vyombo vya Serikali ili kuruhusu watu binafsi au makampuni ya kufanya biashara chini ya mamlaka ya serikali. Ni ruhusa kuanza biashara iliyotolewa na serikali za mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa