Ili kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) unatakiwa kujisajili kwenye mfumo mpya wa "Government Salary Slip Portal" ambapo utajisajili kwenye mfumo na baada ya masaa ishirini na manne (24hrs) utaweza kuingia kwenye mfumo na kupata hati yako ya mshahara.
Kwenye Mfumo huu vitu vya kuzingatia ni:
Ili kujisajili Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Manage/EmployeeRegistration
au kuingia kwa waliojisajili kwenye Government Salary Slip Portal Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login?ReturnUrl=%2F
Kwa msaada zaidi waweza kuwasiliana na ofisi ya TEHAMA-Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Aidha usijaze kitu kama huna uelewa kamili.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa