Halmashauri ya Wilaya ya Meru ina vyanzo vingi vya maji kama vile Chemichem visima na mito .Kiuhalisia upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Meru bado haujaweza kuwafikia wananchi wote katika vijiji vilivyopo.
Huduma ya maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru inatolewa kwa watu wapatao 171,669 ambao ni sawa na asilimia 64 ya wakazi wote Hivyo Idara inaendelea na jitihada zaidi za kutafuta rasilimali zitakazowezasha ujenzi wa miradi ya maji kutekelezwa hivyo kuboresha hali ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi.
Miradi hii inaweza tekelezwa kwa awamu kutegemea uwezo halisi na upatikanaji wa fedha. Kwa maelezo bonyeza hapa kupakua faili kupata maelezo ya kina.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa