Kitengo cha sheria ni moja vitengo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Kitengo hiki kinaratibu masuala yote yanayohusu Sheria mbalimbali, kinatoa ushauri wa kitaalamu kwa Mkurugenzi Mtendaji, kwenye vikao vya kisheria vya Halmashauri, na pia kutoa ushauri wa kisheria kwa mamlaka za vijiji ama mtu mmoja mmoja au vikundi kwenye vijiji na kata zinazounda Halmashauri.
Sheria ndogo za Halmashauri
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa