Mwili wa aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Arumeru marehemu Anaclet Mushashu umepunzishwa kwenye nyumba yake ya milele , nyumbani Kwao Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera
Mushashu alifariki tarehe 31 Juli 2021 katika Hospitali ya Wilaya ya Meru Tengeru alipokuwa anapatiwa matibabu.
Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa