Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Bw.Emmanuel John Mkongo amekabidhi rasmi Ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa Halmashauri hiyo Mwl.Zainabu J. Makwinya.
Bw. Emmanuel John Mkongo amepangiwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Wilayani Bunda Mkoani Mara kufuatia uteuzi uliofanywa tarehe 01 Agosti, 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Bw.Emmanuel John Mkongo akikabidhi rasmi Ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa Halmashauri hiyo Mwl.Zainabu J. Makwinya.
Katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mhe.Jeremia Kishili akiwa na Wakurugenzi Mwl.Zaibu J.Makwinya na Emmanuel J.Mkongo.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa