Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Eng.Richard Ruyanga amezindua rasmi club ya jogging ya UVCCM Wilaya ya Kichama Meru.
Aidha uzinduzi huo umefanyika kwa Mkuu huyo wa Wilaya kuongoza mazoezi ya kukimbiza katika viunga vya Kata ya USA -River pamoja na mazoezi mengine ya viungo.
Mwenyekiti wa UVCCM Ndg.Faraja Laizer amesema uzinduzi wa club hiyo ni Wito kwa vijana kufanya mazoezi kuimarisha afya zao,pia ni wito kwa jamii kwa hiyari kupata chanjo ya UVIKO -19
*Vijana ni Nguvu kazi,pata chanjo ya Uviko-19 kwa hiyari. UVIKO -19 inazuilika*
Kulia ni Eng.Richard Ruyango Mkuu wa Wilaya ya Arumeru wakati wa uzinduzi wa Meru UVCCM jogging club.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa