Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Meru yashika nafasi ya 3 kitaifa katika matokeo ya kuhitimu kidato cha nne 2020.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Wilayani Arumeru Mkoani Arusha ni miongoni mwa Hamlashauri 10 zilizofanya vizuri kitaifa katika mtihani wa kuhitimu kidato cha Nne (CSEE ) mwaka 2020 ambapo imeshika nafasi ya tatu huku nafasi ya kwanza ikichukuliwa na Halmashauri ya Bagamoyo na nafasi ya pili ikichukuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa