Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Afya, Elimu na Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Wilayani Arumeru wamuaga a
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo BW.Emmanuel John Mkongo kwa kumtaka kuendelea kuchapa Kazi kwa juhudi; viwango, weledi na uadilifu kama alivyofanya Meru katika kituo chake jipya cha kazi.
Pia, Madiwani hao wamemuahidi kufanya kazi kwa ushirikiano Mkurugenzi mpya wa Halmashauri hiyo Mwl.Zainabu J. Makwinya.
Aidha, Bw. Emmanuel John Mkongo amepangiwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Wilayani Bunda Mkoani Mara kufuatia uteuzi uliofanywa tarehe 01 Agosti, 2021na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
KAZI IENDELEE
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa