Watumishi mbalimbali Halmashauri ya Wilaya ya Meru washiriki Kongamano la pili la kikanda kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Kanda ya Kaskazini Kongamano lililofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa kimataifa AICC Uliopo Mkoani Arusha.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa