• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KIWAWA.

Imewekwa: January 29th, 2021

Wanafunzi  80 wa kidato cha Kwanza wapangwa kuanza masomo katika shule mpya ya Sekondari ya Kiwawa .

Wanafunzi hao 80 wameongeza idadi ya wanafunzi waliopangwa kwa awamu ya pili kufikia 176.

Ikumbukwe kuwa, katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru idadi ya wanafunzi 6,851 walichaguliwa kujiunga kidato cha kwanza ambapo kati yao 5,216 walipangwa kwa awamu ya kwanza na 1,635 hawakupangwa kutokana na uhitaji wa vyumba vya madarasa  .

Mwenyekiti  wa Halmashauri hiyo Mhe.Jeremiah Kishili pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Emmanuel Mkongo waliitembelea shule hiyo  kukagua miundombinu ambapo walitoa maelekezo kwa Kamati ya ujenzi ya shule hiyo kukamilisha miundombinu ya maji ili wanafunzi waweze kuanza masomo mapema.

"Tumeridhishwa na ujenzi katika shule ya Sekondari  Kiwawa yenye madarasa 4, Viti na meza 100 , hivyo tumewapanga wanafunzi 80 kuanza  masomo siku ya Jumatatu" ameeleza Mkongo.

Mkongo ameongeza kuwa Shule ya Sekondari Kiwawa ni ya pili kupangiwa wanafunzi ikitanguliwa na Shule ya Sekondari Nkoarisambu iliyopangiwa wanafunzi 96 baada ya kukamilisha vyumba 2 vya madarasa vilivyokua vinahitajika.

Mkongo amehitimisha kwa kutoa wito kwa Waheshimiwa Madiwani ,Wenyeviti wa Vijiji, Wenyeviti wa Vitongoji, Watendaji wa Kata na Vijiji kusimamia ukamilishaji  wa madarasa hayo kabla ya tarehe 28 Febriari 2021 kama Serikali ilivyoelekeza.


Katika kuhakikisha vyumba vya madarasa vinakamilika, Halmashauri ya Wilaya Meru kupitia fedha za mapato yake ya ndani (Own Source) imetumia zaidi ya Shilingi Milioni 160 kununua vifaa vya ujenzi ambavyo ni Bati 1860 zilizogharimu  shilingi 48,259,004.51, Mbao shilingi 64,598,752.00 na Saruji mifuko 3325 iliyogharimu  shilingi 48,212,500.

bofya hapa

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa