Katibu wa CCM Wilaya ya Kichama Meru Ndg. Gurisha Mfanga ametoa wito kwa jamii Kupata chanjo ya UVIKO -19 inayotolewa kwa hiyari katika Kituo cha Afya Usa-River na Hospitali ya Wilaya ya Meru (Tengeru)
Mfanga amesema hayo wakati wa ziara yake ya kujionea zoezi la chanjo linavyoendelea katika Hospitali ya Wilaya ya Meru ambapo amewahimiza Wananchi kuendelea kuchukua tahadhari zote kama inavyoelekezwa na wataalamu wa Afya.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa