Kampuni ya Wilderness Technology Kutoka USA wametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Meru na kupokelewa na Dkt. Aman Sanga kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo
Timu hiyo kutoka Wilderness Technology kutoka USA ikiongozwa na Mkurugenzi wa kampuni hiyo Ndg. LOU AUGUST wamefika katika Ofisi ya Mkuu wa Divisheni Elimu Sekondari na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Divisheni hiyo, Marcel Itambu yenye lengo la kufadhili upatikanaji wa vifaa vya TEHAMA katika Shule za Sekondari kwa lengo la kukuza Somo la TEHAMA Mashuleni.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa