• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

"USHIRIKA UTADUMU NA KUIMARIKA KATIKA WILAYA HII"KAULI YA DC MURO .

Imewekwa: August 31st, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro amewataka viongozi wa vyama vya ushirika wilayani humo wasioweza kuviongoza vyama hivyo kujiuzulu mara moja.

Mhe.Muro amesema hayo katika uzinduzi wa Jukwaa la Ushirika Wilaya ya Arumeru, ambapo amesema atasimamia  ushirika wilayani humo ili uweze kuimarika na kudumu.

Mhe.Muro amesikitishwa na ubadirifu wa fedha  za wanachama  wa ushirika kwa maslahi ya viongozi wachache kinyume na lengo la serikali kuwaunganisha wananchi pamoja  ili waweze kujikwamua kiuchumi na kijamii.

Muro ameviasa  vyama vya ushirika kutumia wataalamu wenye sifa ili kuleta ufanisi  kama  sheria namba 6  ya mwaka 2013 inavyowataka.

Akihitimisha Mhe.Muro amewapa muda wa mwezi mmoja viongozi wote wa vyama vya ushirika Wilayani Arumeru kuwasilisha taarifa za kipindi cha miaka 5 za mapato na matumizi, taarifa za mali za vyama pamoja na taarifa ya idadi ya wanachama,watumishi sambamba na mihutasari ya vikao.

Nae Mkuu wa Kitengo cha  Ushirika Halmashauri ya Meru ambapo uzinduzi wa jukwaa hilo umefanyika ,Ndg. Mkumbwa Mussa amesema wamejipanga vyema kuvisimamia Vyama hivyo ikiwa ni pamoja na kufanya Ukaguzi wa kushtukiza mara kwa mara.

Nao wajumbe wa jukwaa la Ushirika Wilayani Arumeru wameazimia kutekeleza maagizo yote yaliyotolewa ikiwa ni pamoja na kutumia wiki 3 kutekeleza maagizo ya Mkuu wa Wilaya ya uwasilishaji wa taarifa.

lengo  la uundaji wa Majukwaa ya ushirika ngazi ya Mkoa na Wilaya ni kutoa  fursa kwa wanachama na wadau mbalimbali kujadili
Maendeleo na changamoto zinazoukabili ushirika na kuweka mikakati ya kutatua changamoto hizo ili kuviimarisha Vyama vya Ushirika.

Wilaya ya Arumeru ina Halmashauri mbili ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.

Idadi ya vyama vya ushirika Wilaya ya Arum ni 113 ikiwa ni 73  vipo Halmashauri ya Wilaua ya Meru na 40 vipo Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.

PICHA ZA TUKIO.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro.

(kushoto) kwa mkuu wa wilaya Arumeru ni Mwenyekiti wa Jukwaa la ushirika Mkoa wa Arusha Ndg. Wilibald Ngambeki na kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wilaya ya Arumeru Mch.Anaeli Nassari.

Mkuu wa Kitengo cha  Ushirika  Halmashauri ya Meru  Mkumbwa Mussa (kulia ) pembeni yake  ni Afisa ushirika  kwenye Halmashauri ya Meru Neema Munisi.


Viongozi wa vyama vya ushirika wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Ushirika Wilaya ya Arumeru.


Viongozi wa vyama vya ushirika wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Ushirika Wilaya ya Arumeru.

Viongozi wa vyama vya ushirika wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Ushirika Wilaya ya Arumeru.

Viongozi wa vyama vya ushirika wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Ushirika Wilaya ya Arumeru.

Picha ya pamoja ya Mkuu wa wilaya ya Arumeru,viongozi wa Jukwaa la Ushirika Arumeru na viongozi wa vyama vya ushirika.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa