Afisa Mwandikishaji Jimbo la Arumeru Mashariki anawatangazia Wananchi wa Jimbo hilo kuwa,ataweka wazi daftari la kudumu la wapiga kura kwa siku nne kuanzia tarehe 17 hadi 20 June 2020. Uwekaji wazi Daftari utafanyika kwenye vituo vyote vilivyotumika kwenye uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura na utazingatia tahadhari zote za kiafya kuhusu kuzuia maambukizi ya ugonjwa unaoenezwa na Virusi vya vya Corona (COVID 19.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa