Viongozi wa dini mbalimbali wakiongozwa na Padre Andrew Mawingu Mwiko wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Usariver, Shekhe Seif Zule, Mchungaji Benjamini Msomi wakiwa katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru kwa ajili ya kushiriki dua na maombi ya kitaifa ya kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tumeshikamana na Tumeimarika kwa Maendeleo ya Taifa letu"
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa