Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango , Halmashauri ya Wilaya ya Meru imefanya ziara ya kukagua Miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya pili cha Oktoba - Desemba, kwa mwaka wa fedha 2020/2021.
Ikumbukwe ziara hii( tarehe 19- 20 )Januari 2021 ni ya kwanza toka kuundwa kwa kamati ya Fedha, Utawala na Mipango katika baraza la kwanza la Halmashauri lililofanyika tarehe 16 Desemba 2020.
BAADHI YA PICHA KATIKA ZIARA HIYO.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa