Imewekwa: April 3rd, 2019
Wananchi wa Halmashauri ya Meru ,Wilayani Arumeru waipongeza Serikali ya Awamu ya tano kwa uboreshaji wa huduma za Afya Wilayani humo.
Wakizungumza na mwandishi wetu, wananchi hao wameishukuru Seri...
Imewekwa: January 25th, 2019
KUTOKA WILAYANI ARUMERU.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mkoani Arusha imeshika nafasi ya 6 kitaifa kati ya Halmashauri na Manispaa 195 kwenye matokeo kidato cha nne kwa mwaka 2018.
Halmashauri ...
Imewekwa: November 8th, 2018
Madiwani Paulo Shango wa kata ya Kikwe, Peter Kessy wa kata King'ori na Bernard Kivondo wa Kata ya Majengo Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameapishwa kuwa madiwani rasmi wa Kata hizo katika mkutano wa ...