Imewekwa: September 24th, 2018
Wananchi wa Manyata Wilayani Arumeru wapongeza utendaji wa Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Jerry Muro ambao unalenga kutatua kero za wananchi na kuwaletea Maendeleo.
Hayo yameelezwa na wananchi hao wakati...
Imewekwa: September 24th, 2018
Wananchi wa Manyata Kata ya Usa - River ,Halmashauri ya Wilaya ya Meru wamepokea kwa shangwe na nderemo mradi wa kukarabati barabara ya Manyata - Nganana urefu wa Km 5.7.
Aidha mradi huo wa ukaraba...
Imewekwa: September 19th, 2018
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ndg.Charles Kabeho alipoweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji kijiji cha Nshupu Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,ameitaka kamati ya maji ya Kijiji hicho...