Imewekwa: January 7th, 2021
Wito watolewa kwa Walengwa wa TASAF Halmashauri ya Wilaya ya Meru kutumia fedha zinazotolewa na TASAF kama ilivyokusudiwa ili kujikwamua kiuchumi .
Wito huo umetolewaa na BW.Christop...
Imewekwa: June 30th, 2021
Kamati ya Siasa Wilaya ya Kichama ya Meru imewataka Wahandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuwatumia mafundi wenye ujuzi na wazalendo katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya Serikali...