Imewekwa: December 6th, 2017
Wanakijiji wa Kijiji cha Imbaseni wamezingatia usemi "Maendeleo ya Mtu ni Mtu mwenyewe" kwa kushiriki kwa michango na nguvu zao kwenye ujenzi wa Zahanati ya Kijiji hicho , Afisa Mtenda...
Imewekwa: December 5th, 2017
Halmashauri ya Meru kwa kipindi cha miaka 12 kuanzia( mwaka 2005 hadi 2016 ) ina historia ya kuwa kinara kwenye mashindano ya Kampeni ya Kitaifa ya Usafi wa mazingira inayohusu ujenzi na mat...
Imewekwa: December 2nd, 2017
Wananchi katika Halmashauri ya Meru wajitokeza kwa Wingi kuadhimisha siku ya Ukimwi Duniani ambayo kwa Halmashauri ya hiyo iliadhimishwa kwa kutoa huduma kwa wananchi bila malipo za upimaji ...