Imewekwa: October 16th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndg. Jerry Muro amefunga rasmi mafunzo ya jeshi la akiba kundi 6/2020 yaliyoanza 24 februari 2020 katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru .
Akifunga mafunzo ha...
Imewekwa: September 23rd, 2020
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Ndg.Deo Mtui ambaye ni Mkuu wa TAKUKURU Wilayani Arumeru , amesema kiasi cha shilingi 21,700,000/= zimekabidhiwa kwa Wananchi 7 .
Mtui amefafanua kuwa...