Imewekwa: July 20th, 2019
Afisa uandikishaji jimbo la Arumeru Mashariki Ndg.Emmanuel Mkongo atoa wito kwa wananchi Jimboni humo ambao bado hawajaboresha taarifa zao kwenye daftari la kudumu la mpiga kura na wale ambao watakua ...
Imewekwa: July 12th, 2019
Shule ya Sekondari Kisimiri ambayo ni shule ya Serikali ya Kata iliyopo Halmashauri ya Meru ,Wilayani Arumeru Mkoani Arusha ndio shule ya Sekondari bora kati ya shule 594 Nchini Tanzania.
Ubora wa ...