Imewekwa: September 17th, 2018
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ndg.Charles Kabeho amefungua Miradi miwili daraja la Irikolanumbe na mradi wa barabara ya Ubungo Irikolanumbe yenye thamani ya Shill...
Imewekwa: September 15th, 2018
Tarehe 17 Septemba 2018 ,Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmashuri ya Wilaya ya Meru umbali wa Kilometa 112.5 ili kukagua, kufungua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi miradi yenye thamani ya shill...
Imewekwa: September 6th, 2018
Wananchi wa Kata ya Mbuguni Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameipongeza Serikali ya awamu ya tano kwa kuboresha huduma za Afya ikiwemo upatikanaji wa dawa.
Wananchi hao wamemweleza hayo Mkuu wa mkoa...