Imewekwa: February 27th, 2018
Watendaji 20 wa vijiji ambao walishinda usaili uliofanyika tarehe 01 na 02 Februari 2018 wamejaza fomu za Mkataba wa Ajira Serikalini na mifuko ya hifadhi ya jamii ,hii ni baada ya kupewa ...
Imewekwa: February 26th, 2018
Vijana 26 wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wamekabidhiwa vocha za ruzuku ya ada itakayowawezesha kupata mafunzo ya ufundi bila malipo kwenye vyuo mbalimbali Nchini.
Afisa vijana wa Halmashauri ya M...
Imewekwa: February 23rd, 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Humphrey Polepole ameielekeza Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuwa wabunifu katika kuwezesha wananchi kiuchumi kwa kuanzisha miradi shir...