Imewekwa: July 28th, 2017
Mradi huu wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu wenye vyumba 3 vya kulala,jiko,stoo,bafu na choo kwaajili ya makazi ya familia mojo unaotekelezwa katika shule ya sekondari Maruvango kwa ufadhili wa TASAF...
Imewekwa: July 28th, 2017
Halmashauri imekabithiwa madawati 40 kwaajili ya wanafunzi wa shule za msingi toka jamii ya Patel Samaj iliyopo Arusha ,tarehe 28 Julai 2017
...