Imewekwa: July 28th, 2017
Mradi huu wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu wenye vyumba 3 vya kulala,jiko,stoo,bafu na choo kwaajili ya makazi ya familia mojo unaotekelezwa katika shule ya sekondari Maruvango kwa ufadhili wa TASAF...
Imewekwa: July 28th, 2017
Halmashauri imekabithiwa madawati 40 kwaajili ya wanafunzi wa shule za msingi toka jamii ya Patel Samaj iliyopo Arusha ,tarehe 28 Julai 2017
...
Imewekwa: July 1st, 2017
Ikiwa ni utekelezaji wa agizo lililotolewa na makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu la uundaji wa majukwaa ya wanawake kuanzia ngazi za kata,wilaya,mkoa na taifa,Halmashauri ...