Imewekwa: August 3rd, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Eng.Richard Ruyango ametoa wito kwa Viongozi wa jamii, madhehebu ya dini kuelimisha Umma juu ya huduma za chanjo ya UVIKO - 19 ikiwa fursa kwa wananchi ambao wapo tayar...
Imewekwa: August 2nd, 2021
Uzinduzi wa chanjo ya UVIKO -19 katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru utafanyikia siku ya Kesho tarehe 03 Agosti 2021 kwenye Kituo cha afya Usa-River (Leganga).
Muda ni saa 3:00 ...
Imewekwa: August 2nd, 2021
Mwili wa aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Arumeru marehemu Anaclet Mushashu umeagwa Leo katika viwanja vya Makao Makuu ya Wilaya ya Arumeru ambapo Watumishi wa Mkoa wa Arusha na ...