Imewekwa: September 4th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Meru Leo Tarehe 04.09.2023 imempitisha Mhe. Felister Nanyaro Diwani Viti Maalum Tarafa ya Poli kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Kwa mwaka mwingine wa 2023/2024.
M...
Imewekwa: September 1st, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Meru Leo Tarehe 01.09.2023 imefanya Mkutano wa Baraza la Halmashauri kwa siku ya Pili.
Kwa Mujibu wa Kanuni ya 24 ya kanuni za kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Meru za mw...
Imewekwa: August 31st, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Meru Leo Tarehe 31.08.2023 imefanya Mkutano wa Baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya nne Aprili hadi Juni kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 ikiwa ni kuwasilisha taarif...