Imewekwa: June 17th, 2020
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Arumeru Mashariki anawatangazia Wananchi waJimbo hilo kuwa, ameweka wazi daftari la kudumu la wapiga kura kwa siku nne kuanzia leo tarehe 17 hadi 20 June 2020.
WAHUSIKA...
Imewekwa: June 12th, 2020
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Arumeru Mashariki anawatangazia Wananchi wa Jimbo hilo kuwa,ataweka wazi daftari la kudumu la wapiga kura kwa siku nne kuanzia tarehe 17 hadi 20 June 2020. Uwe...
Imewekwa: April 23rd, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro wakati wa ziara yake kushiriki shughuli za uokoaji amesema mvua zimeleta madhara makubwa ambapo watu wawili wamefariki leo hii Katika Halmashauri ya Wilaya ...