Imewekwa: January 7th, 2022
Wananchi wa Kijiji cha Mareu, Kata ya King'ori Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameishukuru Serikali ya awamu ya sita ikiongozwa na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Shilingi Milioni 250 fedha za t...
Imewekwa: January 5th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya ameagiza ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi Patandi kukamilika kwa wakati n...
Imewekwa: December 9th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Meru ikiwa ni Siku ya miaka 60 ya uhuru kwa Kushirikiana na wadau mbalimbali imeandaa Bonanza la kuhamasisha chanjo ya Uviko-19 ambapo kumekuwa na michezo ya Mpira wa mi...