TAARIFA ZA IDARA ELIMUMSINGI JUNI - 2017
S/N
|
AINA YA TAASISI
|
SERIKALI
|
SHULE ZISIZO ZA SERIKALI
|
JUMLA
|
1
|
Elimu ya awali
|
113
|
45
|
158
|
2
|
Elimu Msingi
|
113
|
45
|
158
|
3
|
Vituo vya walimu (TRC’s)
|
3
|
0
|
3
|
4
|
Vituo vya ufundi stadi
|
2
|
6
|
8
|
5
|
Shule zenye vitengo vya elimu maalum
|
5
|
0
|
5
|
2: IDADI YA WANAFUNZI KWA SHULE ZA SERIKALI.
Jedwali lifuatalo linaonesha idadi ya wanafunzi kimadarasa kwa mwaka 2017 katika shule za serikali:-
DARASA
|
ELIMU YA AWALI
|
I
|
II
|
III
|
IV
|
V
|
VI
|
VII
|
JUMLA
|
WAVULANA
|
3794
|
4050
|
3638
|
3018
|
3573
|
2782
|
2905
|
3496
|
27256
|
WASICHANA
|
3325
|
3736
|
3397
|
3047
|
3312
|
2332
|
2859
|
3803
|
25811
|
JUMLA
|
7119
|
7786
|
7035
|
6065
|
6885
|
5114
|
5764
|
7299
|
53067
|
MIKONDO
|
285
|
195
|
176
|
152
|
172
|
128
|
144
|
182
|
1436
|
Miundombinu kwa shule za msingi imekuwa ikiimarika mwaka hadi mwaka kutokana na ushirikiano baina ya wilaya na wadau mbalimbali wa elimu. Jedwali lifuatalo linaonesha hali ya miundo mbinu ya shule
S/N
|
AINA YA MIUNDO MBINU
|
MAHITAJI
|
ILIYOPO
|
UPUNGUFU
|
1
|
VYUMBA VYA MADARASA
|
1387
|
1118
|
269
|
2
|
NYUMBA ZA WALIMU
|
1563
|
385
|
1178
|
3
|
VYOO VYA WANAFUNZI -WAV
|
1612
|
725
|
887
|
|
WAS
|
1918
|
728
|
1190
|
4
|
VYOO VYA WALIMU ME
|
113
|
95
|
18
|
|
KE
|
113
|
98
|
15
|
S/N
|
AINA YA SAMANI
|
MAHITAJI
|
ZILIZOPO
|
UPUNGUFU
|
1
|
MEZA
|
2691
|
2071
|
620
|
2
|
VITI
|
2352
|
2208
|
144
|
3
|
KABATI
|
1750
|
678
|
1072
|
4
|
SHUBAKA
|
902
|
287
|
615
|
5
|
MADAWATI
|
26534
|
24881
|
1653
|
5: IDADI YA WALIMU ELIMUMSINGI HALMASHAURI YA MERU NI KAMA IFUATAVYO:-
DARAJA
|
ME
|
KE
|
JUMLA
|
CHETI/DARAJA IIIA
|
347
|
1044
|
1391
|
STASHAHADA
|
15
|
21
|
36
|
SHAHADA
|
49
|
80
|
129
|
SHAHADA YA UZAMILI
|
3
|
4
|
7
|
JUMLA KUU
|
399
|
1114
|
1563
|
6: MATOKEO YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI KWA MWAKA 2016
Mwaka 2016 jumla ya wanafunzi 6650 walifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ,ambapo wanafunzi 4356 sawa na asilimia 65.5% walifaulu na kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza ,kati ya wanafunzi hao 1966 ni wavulana sawa na asilimia 45.14% na 2390 ni wasichana sawa na asilimia 54.86%
7: USAJILI WA WATAHINIWA KWA DARASA LA IV NA NA DARASA LA VII - 2017.
Usajili kwa wanafunzi wa madarasa ya mtihani umefanyika ambapo wanafunzi wa darasa la IV ni 7780 wanaotarajiwa kufanya mtihani wa (SFNA), Vile vile jumla ya wanafunzi 7299 wa darasa la VII wamesajiliwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi PSLE -2017 .
Majedwali yafuatayo yanatoa taarifa ya usajili huo
A: DARASA LA IV.
DARASA IV
|
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
MIKONDO
|
MKONDO WA KISWAHILI
|
3450
|
3104
|
6554
|
306
|
MKONDO WA KIINGEREZA
|
610
|
616
|
1226
|
63
|
JUMLA KUU
|
4060
|
3720
|
7780
|
369
|
B: DARASA LA VII.
DARASA VII
|
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
MIKONDO
|
MKONDO WA KISWAHILI
|
3169
|
3448
|
6617
|
301
|
MKONDO WA KIINGEREZA
|
327
|
355
|
682
|
39
|
JUMLA KUU
|
3496
|
3803
|
7299
|
340
|
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa