Halmashauri ya Meru ina kiasi cha hekta 3,267.61 katika vijiji vya Uwiro (1,298.78ha), Ngabobo (881.95ha), Kisimiri Juu (1,086.88ha). Maeneo haya yanafaa sana kwa ufugaji wa mifugo aina ya ng’ombe, mbuzi, kondoo na hata mashamba makubwa ya kuku.
Uboreshaji wa eneo hili utazingatia hali halisi ya eneo, aina ya mifugo inayokusudiwa kutumia eneo na idadi ya mifugo inayoweza kulishwa kwa kuzingatia uwezo wa malisho (carrying capacity).
Halmashauri inategemea kuboresha malisho yaliyopo kwa kufanya shughuli zifuatazo
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa