Halmashauri ya Meru ina eneo la ukubwa wa mita za mraba 25,757 mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru iliyopo Usa River ambalo linafaa kwa ajili ya ujenzi wa maduka (Shopping Malls), Benki, Kumbi za starehe, Hoteli na Ofisi mbalimbali.
Miundombinu ya maji, umeme iko jirani lakini pia eneo hili liko pembeni ya barabara ya lami (Arusha-Moshi).
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa